TANZANIA YASAINI MKATABA WA BILIONI 988 KUENDELEZA MIUNDOMBINU JIJINI DAR ES SALAAM.


Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (kulia), na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Bw. Nathan Belete, wakionesha hati ya mkataba wa mkopo wenye thamani ya Euro milioni 361.1 (sawa na takribani shilingi bilioni 988.093) kwa ajili ya kutekeleza Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuendeleza Miundombinu Dar es Salaam (Dar Es Salaam Metropolitan Development Project Phase II (DMDP II). 


Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Bw. Nathan Belete (Mb), akizungumza wakati wa hafla ya utiaji wa Saini ya hati ya mkataba wa mkopo wenye thamani ya Euro milioni 361.1 (sawa na takribani shilingi bilioni 988.093) kwa ajili ya kutekeleza Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuendeleza Miundombinu Dar es Salaam (Dar Es Salaam Metropolitan Development Project Phase II (DMDP II), katika ukumbi wa Hazina Ndogo, jijini Dar es Salaam. 




Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza wakati wa hafla ya utiaji wa Saini ya hati ya mkataba wa mkopo wenye thamani ya Euro milioni 361.1 (sawa na takribani shilingi bilioni 988.093) kwa ajili ya kutekeleza Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuendeleza Miundombinu Dar es Salaam (Dar Es Salaam Metropolitan Development Project Phase II (DMDP II).


Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb), akizungumza wakati wa hafla ya utiaji wa Saini ya hati ya mkataba wa mkopo wenye thamani ya Euro milioni 361.1 (sawa na takribani shilingi bilioni 988.093) kwa ajili ya kutekeleza Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuendeleza Miundombinu Dar es Salaam (Dar Es Salaam Metropolitan Development Project Phase II (DMDP II), katika ukumbi wa Hazina Ndogo, jijini Dar es Salaam.
 

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogoloakizungumza wakati wa hafla ya utiaji wa Saini ya hati ya mkataba wa mkopo wenye thamani ya Euro milioni 361.1 (sawa na takribani shilingi bilioni 988.093) kwa ajili ya kutekeleza Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuendeleza Miundombinu Dar es Salaam (Dar Es Salaam Metropolitan Development Project Phase II (DMDP II), katika ukumbi wa Hazina Ndogo, jijini Dar es Salaam.

Viongozi mbalimbali wa Serikali wakishuhudia hafla ya utiaji Saini wa hati ya mkataba wa mkopo wenye thamani ya Euro milioni 361.1 (sawa na takribani shilingi bilioni 988.093) kwa ajili ya kutekeleza Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuendeleza Miundombinu Dar es Salaam (Dar Es Salaam Metropolitan Development Project Phase II (DMDP II), katika ukumbi wa Hazina Ndogo, jijini Dar es Salaam

Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hazina Ndogo, jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa pia na Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb), Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Deogratius Ndejembi, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Khamis Hamza Khamis, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, Wabunge wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Mwenyekiti wao Dkt. Faustine Ndugulile, Viongozi waandamizi wa Serikali pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam.
 

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments