MAN UNITED KUUZA WACHEZAJI 10 MSIMU HUU.


 Manchester United inajiandaa kuliuza kundi jingine la wachezaji 2024, huku zaidi ya wachezaji 10 wakitarajiwa kuondoka katika madirisha mawili ya uhamisho yajayo. (MEN)

Kiasi cha wachezaji 15 wanaweza kuondoka United, huku winga wa Uingereza Jadon Sancho,23, akitarajiwa kuwa wa kwanza kuondoka mwaka ujao.

 

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments