KWAYA YA AICT SINGIDA YAZINDUA ALBUM YENYE WIMBO WA AMANI

Mgeni rasimi mkuu wa wilaya ya Ikungi Bw Miraji Mtaturu akiongea katika uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa RC  mjini singida.
Meza kuu kushoto ni mchungaji kutoka kanisa la AICT Singida  Mgeni Rasimi Bw Miraji Mtaturu na kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singingida ACP Debora Magiligimba.
Acp Debora Magiligimba mlezi wa kwaya hiyo akimshukuru mchungaji kwa kumkubalia kuwa mlezi wa kwa hiyo.
Wadhamini wa uzinduzi wa Album ya Amani ya kwaya hiyo  kutoka kiwanda cha MOUNT MERU MILLAS wakiongozwa na Papaa Nelson Mwakabuta katikati meneja mausiano wa kiwanda hicho.
Mwakilishi kutoka chama cha mapinduzi CCM mkoa  Bw Martin Lissu akitoa salam za chama kwa niaba ya katibu mkuu  wa CCM mkoa wa Singida Bw Jimson Mhagama.







Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments