Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya FIKEL SCHOOL SOLUTION Bi Lina Onansia Mbonica akikabidhi zawadi mbalimabli kwa wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya kazi na Fikel kwa muda mlefu hiku akitoa ofa kwa shule za sekondary mkoani singida kuandaa mashindano maalum ya michezo yatakayo dhaminiwa na kampuni hiyo.
makao makuu ya kampuni hiyo yapo jijini Arusha na inamatawi mikoa ya Singida na Kigoma ikijiusisha na usambazaji wa Laboratory Apparatus,cemicals,spots equipments pia ujenzi wa maabara na mifumo ya gas na maji mashuleni kwa mawasiliano zaidi wanapatikana kwa namba 0767243383
|
0 Comments