Waziri wa Madini Anthony Mavunde akiongea jijini mwanza.

Sekta ya Madini Hapa Nchini Umetajwa Kukua ambapo Kwa Mwaka 2022/23 Mauzo ya Bidhaa za Madini Nje ya Nchi Yalifikia Asilimia 56% Huku Mzunguko wa Fedha Ukichangia Zaidi ya Trilioni 1.6.

Waziri Mavunde Amesema Hayo Hii Leo alipokuwa Akizungumza Katika Kikao kilicho washirikisha  watoa Huduma Kwa wamiliki wa Leseni za Madini Jijini Mwanza 
.
Kikao Hicho Kimefanyika Kwa Lengo la Kuona Namna Bora ya Kuongeza mnyororo wa Thamani Kwa watanzania Kupitia Sekta ya Madini Hapa Nchini.

Tuandikie Maoni Yako Hapa