MATUKIO YA PICHA KATIKA DIMBA LA NAMFUA ASFC FC SINGIDA UNITED NA YANGA.




Shishimbi baada ya kupaisha penat


Mashabiki wakiangali mikwaju ya penat baada ya sale tasa dk 90.

Upande wa Yanga kila mmoja akijikunyatabaada ya Singida united kusawazisha goli.


Batez akijalibu kuokoa mkwaju wa Martin uliyogonga mwamba .

Penalt ya ushindi iliyopigwa na SUMBI 

Pembeni kwa mbali Baltez anaonekana akimuomba mungu ili Sumbi afunge mkwaju huo wa ushindi.


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments