| Mkuu wa mkoa wa Singida Eng Mathew Mtigumwe akiwasili ukumbini kuagana na timu ya Mjengo queens |
| Eng Mathew Mtigumwe amewataka wachezaji hao kukaza buti kama kaka zao Singida United wanaongoza . |
| Coach Mohamed Kweka akitoa shukrani zake kwa mkuu wa mkoa |
| Nahodha wa timu hiyo Halima (MESSI)akipeana mkono na mkuu wa mkoa |



0 Comments