| meza kuu meya Mbua Chime akifuatilia mijadala ya madiwani |
| mkuu wa wilaya ya Singida Elias Tarimo amewataka madiwa kufanya kazi kwa kujituma ili kutekeleza maelengo waliyojiwekea. |
| mkandalasi akiwekwa kiti moto na baraza la madiwani baada ya kutakiwa kutoa ufafanuzi. |
| Diwani machachali kutoka kata ya KISAKI akitetea hoja yake |
| madiwani kutoka UKAWA (miwani) wakisikiliza kinachoendelea meza kuu. |
| moja ya mijadala iliyozua masali mengi ilikuwa ni TASF mtaalamu kutoka TASAF anafafanua jambo. |


0 Comments