Katibu wa UVCCM Mkoa wa Singida Sebastian Maganga akiongoza kikao kazi ofisini kwake.
Afisa vijana Mkoa Singida Frederick Ndahani na mratibu wa Mbio za Mwenge Mkoa Singida akiongea na viongozi wa UVCCM Mkoa wa Singida katika kiao hicho cha maandali na kutoa maelekezo. mbalimbali.

Kikao kazi cha utendaji cha UVCCM Mkoa
wa Singida kilicho ongozwa na katibu wa UVCCM Mkoa wa Singida Sebastian Maganga
katika ofisi za Makao makuu ya UVCCM Mkoa wa Singida.
Katika kikao hicho kiliwakutanisha
makatibu wa ngazi ya UVCCM wilaya,wahamasishaji,wakuu wa mafunzo ikiwa ni
maandalizi ya mbio za Mwenge wa uhuru Naye mratibu wa mbio za Mwenge wa uhuru Mkoa na Afisa
Vijana Mkoa Frederick Ndahani alipata fursa ya kuzungumza na viongozi hao wa
nagazi ya Mkoa.
0 Comments