Najua wengi hamjui kuwa majani ya karoti Yana faida rukuki. Leo nawaonjesha kidogo.
Kutafuna majani ya karoti kunaweza kuponya vidonda mdomoni.
Kuondoa sumu na kuimarisha figo
Majani ya karoti yana vitamini K nyingi
Klorophyll iliyo kwenye majani inasemekana ina athari nzuri kwa uvimbe
high potasiamu
Yana utajiri katika protini.
0 Comments